Welcome to Page 140 for
Mr. Boni Massawe & Fredy Kimambo,
Guides with Robanda CTP.
Boni ana mikakati na matarajio kama ifuatavyo:
- Alivutiwa na mafunzo aliyoyapata kwenye semina ya CTP Mugumu.
- Kusoma zaidi na kuongeza ujuzi zaidi hasa kwenye nyanja ya kuongoza watalii.
- Kuboresha miuondo mbinu ya Robanda ili utalii uwe mzuri zaidi.
- Kuutangaza utalii ndani na nje ya Tanzania.
No comments:
Post a Comment