Sunday, September 25, 2011

114. lake Eyasi Coordinators.

Welcome to Page 114 for 
Coordinators of 
Lake Eyasi Cultural Tourism, Mang'ola

 Issa.
Hi,
Tumefungua huu utaratibu ambao utakuwezesha kututumia maendeleo yako mipango na hata vikwazo unavyopambana navyo katika kutekeleza sera, mafunzo na mipango tuliyokubaliana nayo wakati wa mafunzo yaliyofanyika kati ya tarehe hadi....
Kama uatakuwa mbali na Internet, unaweza kututumia ujumbe mfupi SMS kwa kutumia simu yako ya mkononi.
Kwa mfano, tungependa Guide atujulishe ni wageni gani amewaongoza, walitoka wapi, walivutiwa na nini, n.k.
Sisi baada ya kuupokea ujumbe huo tutauwakilisha ndani ya ukurasa huu,

No comments:

Post a Comment