Hi Josephat,
Tumefungua huu utaratibu ambao utakuwezesha kututumia maendeleo yako mipango na hata vikwazo unavyopambana navyo katika kutekeleza sera, mafunzo na mipango tuliyokubaliana nayo wakati wa mafunzo yaliyofanyika kati ya tarehe hadi....
Kama uatakuwa mbali na Internet, unaweza kututumia ujumbe mfupi SMS kwa kutumia simu yako ya mkononi.
Kwa mfano, tungependa Guide atujulishe ni wageni gani amewaongoza, walitoka wapi, walivutiwa na nini, n.k.
No comments:
Post a Comment